フリーワード アプリケーション検索

6件が見つかりました。1ページ中1ページ目を表示しています。
[ 教育 ]
Sira ya Mtume (ya kuisoma) katika dakika chache: Sifa na vipengele vya kitabu 1. Kijitabu cha kwanza cha mfukonikinachohusu Sira ya Mtume (S.A.W), ili kiwe pamoja nawe safariniau nyumbani. 2. Ni Kijitabu kilicho chepesi kukibeba, kidogo, chenye manufaa mengi, na maana makini. 3. Kijitabu hichi kimekusanya utukufu wa Sira, uzuri wa mwendowa Mtume (S.A.W), Sunna iliyo safi sana, na alama za mbinu zake. 4. Matini zake zimechaguliwa miongoni mwa mapokeo mengi ili kufikia lengo kwa maneno machache. 5. Hakina mapokeo yasiyoaminika wala H...
[ 教育 ]
Ibada ya Hijja kwa njia ya picha: ni sehemu katika mradi wa ‘Fiqhi Ibada yenye picha’. Lengo la ‘Tatbiiq’ ni kumuwezesha mwanafunzi kufahamu namna ya Hijja ya Mtume ilivyokuwa kuanzia anapohirimia hadi anapomaliza Hijja yenyewe na kurudi kwake. Kila tukio na ibada katika Hijja kinaangaliwa kama vile Mtume yupo miongoni mwetu akiitekeleza; ‘Tatbiiq’ inaanza na Hajj kufika Makka na nafasi yake na fadhila zake, kisha inaingia katika Hijja yenyewe na kuangalia kipengele kimoja hadi kingine kwa utulivu; maana ya Hijja, ‘Umrah hukumu na ...
[ 教育 ]
Tatbiiq’ (Utekeleza wa) Fiqhi Ibadat yenye picha huzingatiwa kuwa ni utekelezaji wa kwanza kabisa wa mafundisho ya Ibada kwa muislamu katika: Tohara, Swala, Funga, Zakat na Hijja kama ilivyokuja katika Qur-aan na katika sunna za Mtume kwa njia mbali mbali; inayokusanya: Nasw yenyewe (kama ni aya au Hadithi), sauti na picha zilizotuwa na zenye kutembea, masomo kwa njia ya video; yenye kusaidia katika wepesi na hali ya uharaka zaidi wa kujifunza na kutekeleza; nayo ni kutokana ya kuwa Nasw pekee haimtoshelezi mtu kujifunza fiqhi kwa ...
[ ブック ]
Qurani (Qur'an) (Quran katika Kiswahili) Qur'an (kwa Kiarabu: القرآن) ni kitabu kitukufu cha Uislamu. Qur'an inatazamiwa na Waislamu kama "Neno la Allah (Mwenyezi Mungu)". Kitabu hiki kwao ni tofauti kabisa na maandiko ya vitabu vya dini nyingine kwa maana hicho kinaaminika kwamba kimeandikwa moja kwa moja na Mwenyezi Mungu, kupitia mtume wake wa mwisho, Muhammad. Lugha na tafsiri Imeandikwa na kusomwa kwa lugha ya Kiarabu pekee kwa zaidi ya miaka 1,400. Kadiri ya Qurani (42:8), Mungu alimuambia Muhammad: "Na namna hivi tumekufun...
星4
4人
[ ブック ]
Biblia Takatifu ya Kiswahili (Swahili Bible) with King James Bible English Version Biblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya Ukristo. Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana "vitabu" tu, inavyomaanishwa na neno "biblia" ambalo ni uwingi wa neno la Kigiriki "biblos" yaani "kitabu". Hutofautishwa na Tanakh ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la "Biblia", hasa katika matoleo ya Biblia ya Kiebrania . Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya Bibl...
[ ブック ]
Biblia Takatifu for Women ya Kiswahili (Swahili Women's Bible) Biblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya Ukristo. Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana "vitabu" tu, inavyomaanishwa na neno "biblia" ambalo ni uwingi wa neno la Kigiriki "biblos" yaani "kitabu". Hutofautishwa na Tanakh ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la "Biblia", hasa katika matoleo ya Biblia ya Kiebrania . Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo kwa j...
Now Loading...

「iPhone & iPad アプリランキング」は、最新かつ詳細なアプリ情報をご紹介しているサイトです。 お探しのアプリに出会えるように様々な切り口でページをご用意しております。
メニュー」よりぜひアプリ探しにお役立て下さい。

  コンタクト   プライバシーポリシー

Presents by $$308413110    スマホからのアクセスにはQRコードをご活用ください。 →

Now loading...screenshot
スマートフォン用サイトへ >